Rushaynah hana mpango wa kuolewa kwa sasa

Rushaynah hana mpango wa kuolewa kwa sasa

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tayari kuolewa na mwanaume yeyote yule.

Rushaynah ameyaeleza hayo baada ya shabiki kumtakia kheri kwenye mwaka mpya na kumuombea apate Mwanaume wa ndoto zake ambaye atamuoa, ndipo mwanadada huyo alijibu kwa kueleza kuwa hataki kuolewa mwaka huu labda 2027 au 2025.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags