Beki wa ‘Klabu’ ya Wydad Casablanca kutoka nchini #Morocco #OussamaFalouh (24) amefariki dunia hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.#Oussama alifikwa na umauti...
Watu wengi wamekuwa wakipata changamoto ya kutokumbuka passward (nywila) zao za mitandao ya kijamii au application mbalimbali wanazotumia, wengi changamoto hiyo huwasababishia...
Matukio ya wasanii kupigana risasi yamekuwa yakisikika kila kukicha katika baadhi ya mataifa, kama ilivyotokea Februari 10, 2023 kwa msanii AKA kutoka nchini Afrika Kusini , k...
Baada ya kusambaa kipande cha video kinachowaonesha wanafunzi wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii #Zuchu 'Honey' wilayani Tunduma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolo...
Mshukiwa wa kwanza katika mauaji ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani #Tupac, #DavisKeefeD yalitokea mwaka 1996 amefikishwa mahakamani siku ya jana Alhamis ambapo kufu...
Mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian, ameeleza kuwa aliyekuwa mume wake Kanye West kwa sasa amebadilisha mtindo wake wa kuishi.Kim ameyasema hayo kupitia kipindi chao...
Mwanamuziki wa #Afrobeat kutoka nchini #Nigeria #Rema ambaye anaendelea kutamba duniani kote amedai kuwa hata kama akiacha muziki leo basi jina lake litaendelea kuishi kwenye ...
Utafiti kutoka katika Chuo Kikuu cha California Los, Angeles nchini Marekani (UCLA) umeeleza kuwa paka wana zaidi ya mionekano 200 ambayo wanyama hao hutumia kuwasiliana wao k...
Aliyekuwa nahodha wa ‘timu’ ya Taifa ya #Ghana, #AsamoahGyan, ameamriwa na mahakama kulipa fidia ya kuwakataa watoto wake na kumlipa aliyekuwa mkewe #GiftyGyan nyu...
Kuna msemo wa kukosea ni wakati wa kwenda sio kurudi. Hii ni kauli inayomlenga Gadiel Michael ambaye amezitumikia ‘timu’ tatu kubwa za ‘Ligi’ Kuu Bara....
Siku chache zimepita baada ya pambano la bondia kutoka #Cameroon Francis Ngannou na Tyson Fury kufanyika huku #Tyson akiondoko na mkanda, bondia #Ngannou ametaka pambano hilo ...
Mwanamuziki wakizazi kipya nchini #HamisiWabss amedai kuwa katika jiji la Dar es salaam mtu ukijiweka katika nafasi ya kujifanya una akili timamu unaweza ukalala na njiaa.
Aki...
Mwanahabari kutoka nchini #Uingereza, Victoria Coren Mitchell, mwenye umri wa miaka 51, amejifungua mtoto wake wa pili na mume wake David mwenye umri wa miaka 49.
Victor...
Dereva wa bus la shule ya Utah kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Michael Austin Ford mwenye umri wa miaka 58 amekamatwa na polisi kwa tuhumima za kuchoma bus la...