Mshitakiwa amshambulia jaji, Wakati akisomewa hukumu yake

Mshitakiwa amshambulia jaji, Wakati akisomewa hukumu yake

Mshitakiwa aliyetambulika kwa jina la #DeobraRedden mwenye umri wa miaka 30, amemshambulia Jaji Mary Kay Holthus wakati akisomewa hukumu yake siku ya jana Jumatano.

Video zilizosambaa mitandaoni zilimuonesha #Deobra akimrukia Jaji #Mary alipokuwa anakaribia kutoa hukumu katika chumba cha Mahakama cha #Nevada.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags