Zoran anatamba Al Hilal

Zoran anatamba Al Hilal

Aliyewahi kuwa ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, Zoran Manojlovic ‘Maki’ ameteuliwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Al Hilal SC ya Nchini Libya.

Zoran pia alikuwa ‘kocha’ wa Al Ittihad ya Misri amewahi kuvinoa ‘vilabu’ vya Primeiro de Agosto ya Angola, Wydad AC ya Morocco, Al-Hilal ya Sudan, CR Belouizdad ya Algeria na Al-Tai ya Saudi Arabia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags