Hawa ndiyo matajiri barani Afrika 2024

Hawa ndiyo matajiri barani Afrika 2024

Business Insider Africa wametoa orodha ya mabilionea 10 zaidi Afrika mwanzoni mwa mwaka 2024, baada ya hufuatilia mabadiliko ya kila siku katika thamani ya mali za watu wenye utajiri mkubwa zaidi Afrika.

 

Orodha ya watu 10 matajiri zaidi barani Afrika mwanzoni mwa mwaka 2024;

 

  1. Johann Rupert & Family πŸ‡ΏπŸ‡¦ - tsh 25.83 Trilioni
  2. Aliko Dangote πŸ‡³πŸ‡¬ - tsh 23.83 Trilioni
  3. Nicky Oppenheimer & Family πŸ‡ΏπŸ‡¦ - tsh 20.82 Trilioni
  4. Nassef Sawiris πŸ‡ͺπŸ‡¬ - tsh 18.56 Trilioni
  5. Abdulsamad Rabiu πŸ‡³πŸ‡¬ - tsh 14.79 Trilioni
  6. Nathan Kirsh πŸ‡ΈπŸ‡Ώ - tsh 14.55 Trilioni
  7. Issad Rebrab & Family πŸ‡©πŸ‡Ώ - tsh 11.54 Trilioni
  8. Mohamed Mansour πŸ‡ͺπŸ‡¬ - tsh 9.03 Trilioni
  9. Naguib Sawiris πŸ‡ͺπŸ‡¬ - tsh 8.27 Trilioni
  10. Mike Adenuga πŸ‡³πŸ‡¬ - tsh 7.77 Trilioni






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags