Huenda mbappe akakipiga timu moja na Mo Salah

Huenda mbappe akakipiga timu moja na Mo Salah

Inadaiwa kuwa ‘Klabu’ ya #Liverpool huenda ikaibuka kidedea katika kuwania saini ya mchezaji kutoka ‘timu’ ya #PSG ya Ufaransa Kylian Mbappé.

Kwa mujibu wa Daily Mail imeeleza kuwa endapo ‘klabu’ hizo mbili zikifikia makubaliano basi #Mbappe atajiunga na ‘timu’ hiyo baada ya kumaliza mkataba wake wa miezi sita na ‘klabu’ ya #PSG.

Aidha imeelezwa kuwa taarifa hiyo bado haijawa rasmi kufuatiwa na ‘klabu’ ya #PSG kutaka pesa nyingi kiasi cha pauni 213 milioni na endapo #Liverpool itashindwa kutoa pesa hiyo basi #Mbappe atasaini mkataba mpya na #Psg.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags