Albumu ya Rema yafikia hadhi ya Gold

Albumu ya Rema yafikia hadhi ya Gold

Albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Rave & Roses (ULTRA)’ imefikia hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya albumu nchini Marekani, kwa kuuza zaidi ya nakala laki 5.

Albumu hiyo iliyotoka April 27, 2023 imetunukiwa Certificate na RIAA, Disemba 15 mwaka 2023 hivyo kuungana na Wizkid ambaye naye alifikia mafanikio hayo kupitia albumu ya ‘Made in Lagos’ na sasa zinakuwa albumu mbili pekee za Afrobeats kufika hatua hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags