Unafahamu kazi ya kitanzi kilichopo nyuma ya shati

Unafahamu kazi ya kitanzi kilichopo nyuma ya shati

Wakati wa kununua nguo watu wengi hutazama ubora na rangi, wachache huchunguza kila kona ya nguo na kujua umuhimu wake.

Kama nimfuatiliaji basi utakuwa umewahi kuona kishikizo au kitanzi nyuma ya shati, fahamu kuwa kwa mara ya kwanza kilizinduliwa nchini Marekani katika miaka 1960, watu wa kwanza kuvaa masharti ya aina hiyo walikuwa wanafunzi kutoka shule ya American Ivy League.

Kazi ya kishikizo hicho ni kuepusha masharti ya wanafunzi kujikunja pindi wayatundikapo kwenye msuari baada ya kuyapiga pasi.

Lakini siku zilizidi kwenda kitanzi hicho kikapewa umakini zaidi baadhi ya sehemu huku wanaume wakikitumia kujitambulisha kuwa wapo single.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post