Figo, Ini sababu kifo cha ex wa muigizaji Forest

Figo, Ini sababu kifo cha ex wa muigizaji Forest

Mke wa zamani wa muigizaji kutoka nchini Marekani Forest Whitaker, Keisha Nash Whitaker, alifariki kutokana na ugonjwa wa ini baada ya kuugua kwa miaka mingi.

Kwa mujibu wa Tmz imeripoti kuwa kufuatiwa na cheti cha kifo kutoka katika hospitali ya Northridge Medical Center iliyopo Las Angeles kilieleza kuwa Keisha alifariki kutokana na kufeli figo, na ugonjwa wa ini.

Keisha na Forest, walifunga ndoa miaka 20 iliyopita na kupeana talaka 2018 huku wakibahatika kupata watoto wa tatu, mwanadada huyo alifariki Disemba 6, mwaka jana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags