Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita ka...
Ikiwa zimepita wiki tatu tangu kitokee kifo cha mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, sasa imeripotiwa kifo cha mwigizaji mwingine kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Amae...
Mke wa zamani wa muigizaji kutoka nchini Marekani Forest Whitaker, Keisha Nash Whitaker, alifariki kutokana na ugonjwa wa ini baada ya kuugua kwa miaka mingi.
Kwa mujibu wa Tm...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...
Mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka nchini Serbia, Borisa Simanic amelazimika kuondolewa figo baada ya kuumia wakati wa mchezo wa Kombe la Dunia la FIBA kwa kupigwa kiwiko na m...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema asilimia 7 ya Watanzania wanaishi na ugonjwa wa figo huku akitoa rai kwa Wananchi kupima ugonjwa huo mara kwa mara ili kuepuka ...