Hekaheka za Kanye kumpangia mkewe mavazi ya kuvaa

Hekaheka za Kanye kumpangia mkewe mavazi ya kuvaa

Rapper kutoka nchini Marekani #KanyeWest ametangaza kuwa mkewe #BiancaCensori atavaa nguo chache zaidi mwaka huu, hii ni baada ya kusambaza kwa picha kadhaa za mkewe akiwa amevaa nguo zilizowazi kwenye ukurasa wake wa #Instagram.

Kanye amekuwa akidaiwa kumpangia mkewe mavazi ya kuvaa, huku mengi yakiwachukiza baadhi ya watu kutokana na muundo wake wenye kuonesha mwili wa dada huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags