Rapa 6ix9ine ajengewa sanamu Cuba

Rapa 6ix9ine ajengewa sanamu Cuba

Zikiwa zimepita siku saba tangu kuzinduliwa sanamu ya mwanamuziki kutoka Colombia Shakira, shabiki wa ‘rapa’ 6ix9ine kutoka nchini Cuba naye ameamua kuonesha mapenzi yake kwa ‘rapa’ huyo kwa kumjengea sanamu na kuisimika katika moja ya mtaa nchini Cuba.

Mtengenezaji wa sanamu hiyo siku ya jana Januari 2, aitwaye Genis Osoria Vargas ali-share picha na video za sanamu hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiweka wazi kuwa sanamu ya 6ix9ine ililipiwa pesa taslimu na shabiki ambaye alitaka sanamu hiyo iwekwe nje ya nyumba yake ili kila atakayepita aione.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags