Kuku mkongwe zaidi dunia amekufa akiwa na miaka 21

Kuku mkongwe zaidi dunia amekufa akiwa na miaka 21

Kuku mwenye umri mkubwa zaidi ambaye alikuwa akishikiria rekodi ya dunia ya Guinness amekufa akiwa na umri wa miaka 21 na siku 238.

Kwa mujibu wa Guinness imeripoti kuwa imepokea taarifa hiyo kwa masikitiko makubwa kufuatiwa na kifo cha kuku aliyefahamika kwa jina la Karanga alikufa siku ya 'Krismasi' katika nyumba aliyokua akiishi nchini Marekani.

Taarifa ya kifo chake ilitolewa rasmi na mmliki wa kuku huyo aina ya ‘Peanut’ itwaye Marsi Darwin kupitia blog yake na mitandao ya kijamii.

Karanga alikabidhiwa cheti cha kuvunja rekodi na Guinness Januari 2023 alipotimiza miaka 20 na siku 272.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags