05
Prisons kuondoka na kitita cha 25 milioni wakiichapa Simba leo
‘Ligi’ kuu ya NBC inaendelea kwa makali makubwa msimu huu huku ikionekana motisha kubwa kwa ‘timu’ zote zinazo fuzu mashindano hayo. Uongozi wa ‘...
05
Rick Ross atumia dola 251 bilioni kwa matumizi ya kawaida
Rapper mkongwe kutoka nchini Marekani #RickRoss mapema wiki hii alipokuwa akifanya mahojiano na #AppleMusic amedai kuwa  miezi sita iliyopita ametumia takribani  251...
05
Naira Marley na Sama waswekwa rumande siku 21, Kifo cha Mohbad
Kufuatia uchunguzi unaoendelea wa kifo cha MohBad, taarifa mpya zinaeleza kuwa ‘rapa’ Naira Marley na ‘promota’ wake Sam Larry wameamriwa kukaa rumande...
05
Zoleka aliandika orodha ya watu asiotaka wafike kwenye msiba wake, Ex wake yumo
Inadaiwa kuwa mjukuu wa Nelson Mandela, Zoleka aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa ‘kansa’  aliacha wosia a...
04
Mke wa nyota wa soka afunguka mume wake kumsaliti
Mbunifu wa mitindo na mwimbaji kutokea nchini Uingereza Victoria Beckham amefunguka na kudai mume wake Davidi hakuwa mwaminifu wakati alipokuwa akiichezea Real Madrid mwaka 20...
04
Diamond ala sahani moja na Burna Boy, Asake na Tyler Icu, Mtv
Msanii Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards katika kipengele cha msanii bora Africa. Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Mtv wametoa taarifa hiyo kwa...
04
Wema, Halima Kopwe, Shilole kwa Jokate
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
04
Boateng : Nilishinikizwa kusema Messi ni bora kuliko Ronaldo
Mchezaji wa zamani wa ‘soka’ nchini Germany ambaye pia aliwahi kuchezea ‘timu’ ya taifa ya Ghana Kevin-Prince Boaten amefunguka na kudai kuwa aliwahi k...
04
Marehemu aliyehifadhiwa kwa miaka 128 kuzikwa week hii
Yamekuwa yakitokea matukio kwa baadhi ya miili ya watu kuchelewa kuzikwa baada ya kufariki kutokana na sababu mbalimbali kama vile za kifamilia, uchunguzi na nyinginezo. Mwaka...
04
Daktari ashinda shindano la urembo ambalo walikatazwa kutumia make-up
Mrembo Natasha Beresford mwenye umri wa miaka 26 ambaye pia ni mtaalam wa meno ameshinda shindano la urembo la Miss London 2023 am...
04
Kwa mara ya kwanza video ya mauaji ya Tupac yaoneshwa
Kufuatia tukio ya kukamatwa kwa rafiki wa aliyekuwa mwanamuziki Tupac, hatimaye kwa mara ya kwanza ushahidi wa tukio hilo umeweza kuoneshwa. Picha ambazo hazijawahi kuonekana ...
04
Michael Jordan aingia kwenye orodha ya Forbes ya matajiri 400
Nyota mashuhuri wa mpira wa kikapu Michael Jordan anadaiwa kuingia kwenye orodha ya watu 400 matajiri zaidi Marekani ambao huandikwa kwenye orodha inayoheshimika ya Forbes 400...
04
21 wafariki baada ya basi kuangukia darajani
Takribani watu 21 wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa limebeba watalii kuanguka mita 30 kutokea kwenye daraja na kuwaka moto karibu na jiji la V...
04
Elon Musk afunguliwa ashitaka na Ex wake
Bilionea Elon Musk, amefunguliwa mashitaka na ex wake Grimes, ambaye alizaa naye watoto watatu,  juu ya haki ya malezi ya watoto wao.  Grimes amefungua mashitaka hay...

Latest Post