Naam!! nikukaribishe tena kwenye magazine yetu ya Mwananchi Scoop katika segment yetu pendwa ya Fashion kama kawaida yetu hapa lazima tuangazie urembo na mitindo mbalimbali.
L...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #Harrysong, amekuwa gumzo nchini humo baada ya kuvunja rekodi ya historia ya kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja.
Harry amevunja rekod...
Watu wengi wamekuwa wakitamka neno ambulance au kuliona gari hilo la kubebea wagonjwa bila ya kugundua siri iliyopo katika uandishi wa neno ambulance, ambalo huandikwa mbele n...
Mwili wa mcheza ‘soka’ kutoka nchini #Bosnia, #NedzadMujagic umepatikana kwenye mto baada ya ajali ya gari kuzama mtoni na kusababisha vifo vya watu wawili na kuje...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest ameweka makazi ya muda mfupi nchi Saudi Arabia akiandaa kazi zake za muziki.
Kanye ameandaa kambi hiyo maeneo ya jangwani...
Mwanamitandao kutoka nchini #Brazil #LuanaAndrede amefariki dunia muda mchache baada ya kufanyiwa Surgery, tukio hilo lilitokea katika Hospitali ya São Luiz huko S&atil...
Msanii wa muziki nchini #Harmonize ameshinda tuzo tatu nchini #Marekani usiku wa kuamkia leo
Harmonize ameshinda tuzo hizo za #AEUSA kwenye vipengele vya Artist of the Year 20...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...
Michuano mipya ya African Football League (AFL) inafikia kilele chake leo Novemba 12, 2023 kwa mchezo wa mkondo wa pili wa ‘fainali’ utakaopigwa katika uwanj...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa dereva kwenye gari lililombeba mwanamuziki na Dancer #ChinoKid pamoja na wenzake, amefariki dunia kufuatia ajali ya ...
Rapa kutoka nchini #Marekani, #LilYatchy amedai kutoridhishwa na uelekeo wa muziki wa Hip-hop duniani na kusema kuwa muziki huo upo kwenye hali mbaya.
‘Rapa’ huyo ...