#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.Tukio hilo a...
Aliyekuwa ‘Kocha’ wa #Simba #Robertinho amekosoa usajili uliofanywa na ‘klabu’ hiyo kwa kueleza kuwa usajili uliofanywa katika dirisha kubwa haukuwa na...
Baada ya kufanya vizuri kupitia ngoma zao mbalimbali lakini wakali hao kutoka #Afrika, ambao ni #Diamond, #Rema na #Wizkid wameambulia patupu katika kuwania Tuzo za #Grammy 20...
Rais wa Shirikisho la soka nchini #Norway Lise Klaveness, amefunguka na kueleza kuwa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) halitendi haki katika kuchagua wenyeji Kombe la Dunia.Ak...
Baada ya kutekwa kwa wiki kadhaa hatimaye, baba mzazi wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya #Liverpool, #LuisDiaz amepatikana ambapo shirikisho la ‘soka’ nchin...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #YemiAlade amewashauri wanawake wasio na waume kuhakikisha wanafunga ndoa na wenzi sahihi na kuachana na mashinikizo kutoka kwa familia au m...
Muigizaji na #Producer maarufu kutoka nchini #Marekani, #MorganFreeman ameweka wazi sababu ya kila wakati kuonekana akiwa avaa hereni, saa na pete za ...
Kama unadhani duniani umeona kila kitu, utakuwa unajiongopea kwani kila siku yanaibuka mambo mpya huku yapo ya zamani pia ambayo bado huyafahamu. Katika ulimwengu ni nadra san...
Inadaiwa kuwa ifikapo mwaka 2025, Tuzo maarufu duniani za Grammy zanatarajiwa kufanyika nchini Rwanda. Inaelezwa kuwa CEO wa Grammy, Harvey Mason Jr mwaka 2022 alitembelea nch...
Mwanamuziki na muigizaji nchini #MimiMars amedai kuwa hawezi kugombana mwanamke mwenzake kisa mwanaume niaibu kwake kwa jinsi alivyolelewa.
Akizungumza na waandishi wa habari ...
Baada ya kukaa langoni kwa dakika 630 na kuisaidia ‘timu’ yake kuongoza msimamo wa ‘Ligi’ Kuu Bara, mlinda mlango namba moja wa #Yanga, #DjiguiDiarra a...