Wapo baadhi ya watumiaji wa mtandao wa WhatsApp wamekuwa wakipata shida kusikiliza Voice Note wanazotumiwa wakiwa mbele za watu kwa kuhofia jumbe zao kusikiwa na watu wa pembe...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini #Marekani #SnopDogg ametangaza rasmi kuacha kuvuta sigara.Kupitia ukurasa wa #Instagram wa mkali huyo ameweka wazi suala hilo kwa kuel...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita #YangaSC imetinga tano bora kuwania Tuzo ya ‘Klabu’ Bora kwa Wa...
Baada ya familia ya muigizaji kutoka nchini #Nigeria Mr Ibu kukatwa mguu kwa ajili ya kuokoa maisha yake, binti yake anaye fahamika kwa jila la Chioma Jasmine amewatoa hofu ma...
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini South Africa, #Tyla wa ‘water’ ambao ulionekana kwenye #Billboard Hot 100 mwezi uliopita, hatimaye umetolewa remix ambayo amemsh...
Mwanamuziki na muigizaji maarufu kutoka nchini #Marekani #Cassie amemtuhumu mkali wa Hip-Hop #Diddy kuwa aliwahi kumfanyia ukatili wa kingono kwa zaidi ya miaka 10 walipokuwa ...
Mfanyabiashara na mmiliki wa ukumbi maarufu kutoka nchini Marekani wa #Sphere ulioko #LasVegas, #JamesDolan inadaiwa kuwa yupo katika mazungumzo na mwanamuziki #Beyonce kwa le...
Album ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Drake ya ‘For All The Dogs’ imefikisha jumla ya #Streams Bilioni 1 kwenye mtandao wa #Spotify ikiwa ni ndani ya mwez...
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya ‘Klabu’ kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, ...
Afisa habari wa ‘Klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ameeleza kuwa Tuzo ya mashabiki bora wa #AFL haitakaa kwenye ofisi za ‘Klabu’ hiyo bali itakuwa ikitembea...
‘Rapa’ kutoka #Marekani, #Drake na J. Cole wameiga pozi la picha ya wachezaji maarufu duniani #LionelMessi na #CristianoRonaldo iliyo waonesha wakicheza chess.
#Dr...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule.
Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato ku...