Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa

Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa

Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman  mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa

Inaelezwa kuwa polisi walimfuma akifanya tukio hilo akiwa nje ya nyumba yake  mjini Florida.

Hata hivyo kwa mujibu wa mashuhuda inadaiwa kuwa mwanaume huyo imekuwa kawaida yake kuwaua wanyama na kuwafunga kwenye mifuko kisha kuwatupa hali ambayo ni kinyume na sharia katika nchi hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags