Muigizaji mkongwe kutoka nchini #IreneUwoya amevunja ukimya na kueleza kuwa jana ilikuwa ni siku ngumu sana katika maisha yake huku aki-posti picha ya marehemu mumewe mchezaji...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini #Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kusababisha ajali ya gari iliyotokea #LosAngeles Januari mwaka jana.
...
Ikiwa ni siku moja tangu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo kuwaonya wasanii wanaotumia na kuhamasisha matumi...
Aliye kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #RichardArnold amejiuzulu baada ya miaka 16 ya utumishi wake ‘klabuni’ hapo.
Inadaiwa k...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini #DiamondPlatnumz ameweka wazi kuwa koti alilolivaa katika wimbo wake ‘Tetema’ ndilo hilo hilo alilolivaa kwenye wimbo wa K...
Ikiwa ni wiki chache tangu mkali wa Afrobeat Burna Boy kutaka kuwalipa pesa waandishi wa blog nchini Nigeria ili waache kuandika habari zake, hatimaye mwanamuziki huyo amedai ...
Wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikielekeza bondia Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazeti la Mwananchi kufuatia kesi ya madai inayomkabili, ...
Mtengenezaji mawigi kutoka Lagos nchini Nigeria, Helen Williams amevunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutengeneza 'wigi' refu zaidi duniani kwa kutumia mikono.
Kwa mijibu w...
‘Klabu’ ya #ChippaUnited ya nchini #AfrikaKusini imefungiwa kusajili wachezaji na Shirikisho la Soka FIFA mpaka itakapomlipa mchezaji raia wa Tanzania #AbdiBanda.
...
Rais wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amewataka mashabiki wa ‘klabu’ hiyo kuwa na imani na viongozi waliochaguliwa.
Mo amewaomba Wanasimba kutulia, k...
Msanii wa muziki nchini #Rayvanny ametangaza ujio wa Project yake mpya kabla ya mwaka kuisha, aliyoipa jina la ‘FIVE FOR YOU (5.4.U)’.
Project hiyo mpya Vanny Boy ...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Erica L. Carrington amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutembea kama miss katika mazishi ya mbunifu mwenzake Vernest Moore wa...