Rihanna: Natamani kupata watoto zaidi na ASAP Rocky

Rihanna: Natamani kupata watoto zaidi na ASAP Rocky

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Rihanna amesema anatamani na yuko tayari kupata watoto wengi zaidi na mpenzi wake #ASAPRocky licha ya kuwa na watoto wawili.

#Rihanna ameeleza kuwa kwa sasa ana watoto wawili wa kiume hivyo matamanio yake ni kupata  wa kike, na anahisi ni wakati sahihi kwake kuwa na watoto wengi.


.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags