Burna Boy aingiza billioni 20 kwenye show 7

Burna Boy aingiza billioni 20 kwenye show 7

Mwanamuziki kutoka Nigeria #BurnaBoy ameripotiwa kuingiza kiasi cha tsh bilioni 20 kwenye show 7 kati ya show 21 alizozifanya katika ziara yake ya ‘Love Damini Tour’.

Huku ikielezwa kuwa moja ya show iliyompatia maokoto zaidi ni aliyoifanya nchini #Ufaransa katika ukumbi wa ‘Paris Defense’ iliyompatia tsh bilioni 7.

.

.

#Mwananchiscoop

#Burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags