Kanye ajipanga kujenga mji wake

Kanye ajipanga kujenga mji wake

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #KanyeWest anatarajia kujenga mji wake Mashariki ya Kati katika eneo lenye ukubwa wa ekari 100,000, ambapo utakuwa mji mkubwa zaidi kushinda jiji la #Paris.

Taarifa hiyo ya kujenga ilichapishwa kupitia mtandao wa #X siku ya jana Jumatano kwenye ukurasa wa #UnreleasedYe ambapo ilitolewa kama tangazo la kutafuta wafanyakazi wa kujenga mji huo.

Hii si mara kwanza kwa #Kanye kuripotiwa kutaka kujenga mji wake mwaka jana pia alikuwa na mpango wa kujenga mji nchini #Marekani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags