Will Paul awatolea uvivu mashabiki

Will Paul awatolea uvivu mashabiki

Mwanamuziki kutoka nchini #Kenya, #WillPaul amewatolea uvivu mashabiki nchini humo akidai kuwa ‘hawasapoti’ wasanii wao.

Ameyasema hayo baada ya mashabiki kutaka aache ku-post challenge ya wimbo wake wa ‘I DO’ aliofanya na msanii kutoka nchini Jamaica, #Alainesinga  uliotoka miaka sita iliyopita

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanamuziki huyo ameandika kuwa  yeye ana-post kwa ajili ya Dunia nzima na siyo kwa #Kenya pekeyao hivyo hawezi kuacha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags