Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #Drake ametangaza ziara ya pamoja na J.Cole ambayo wameipa jina la ‘It’s All A Blur Tour – Big As the What?’ ikiwa ...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wapo tayari kumuuza kwa bei ya hasara mchezaji wao #Antony, ikiwa ni miezi 18 tangu mchezaji huyo ajiunge kwa ada ya uh...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido ashindwa kujizuia kuonesha kuwa amekoshwa na wimbo mpya wa msanii Tems wa 'U & Me'.
Davido kupitia ukurasa wake wa X ame-comment ...
Wateja wa muda mrefu wa biskuti aina ya Oreo wameishutumu kampuni hiyo kwa kupunguza kiasi cha cream ambayo inawekwa katikati ya biscuit hizo.
Shane Ransonet na mkewe waliishu...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, Billie Eilish amejibu kuhusu mistari ya ‘rapa’ #LilYachty katika wimbo wake wa ‘Another Late Night’, ambapo 'rapa'...
Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wakitumia makomeo ya kufunga na kufuli kwa ajili ya kulinda usalama wa mali zao za ndani, ingawa wapo wanaotumia hadi sasa lakini wengine wa...
Baada ya kuifunga ‘klabu’ ya Simba mabao 5-1, ‘timu’ ya Yanga imeamua kuweka bango karibu na uwanja wanaofanyia mazoezi Simba.
Bango hilo lenye matokeo...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ColePalmer, amekiri kuwa yeye ni shabiki wa muda mrefu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, licha ya kuwa anaichezea Chel...
Nyota wa zamani wa R&B R.Kelly, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, ameishitaki serikali nchini Marekani kwa kosa la kuvujish...
Mkurugenzi wa Bongo Star Search #BSS, #RitaPaulsen maarufu kama Madam Rita, amedai kuwa hana mume wala mchumba anahisi wanaume wanamuogopa.
Akizungumza na moja ya chombo cha h...
Isaaaa Furahii dei yooh, ni siku ya sisi kukutana na kufurahi pamoja kutokana na burudani ambazo tunazipata kwenye segment hii kupitia jarida letu pendwa la Mwananchi Sc...
Hellow! i hope mko poa watu wangu wa nguvu, kama kawaida yetu katika segment ya biashara tunakushushia vingi hatari ili na wewe usikae kinyinge.
Katika biashara leo nime...
Ni matumaini yangu wazima wa afya kabisa, nafikiri katika pita pita zako umewahi kukutana na neno hili ‘Wito’ huku wengine wakitoa mfano kuwa uwalimu ni wito japo ...