Ada ya mtoto yamtokea puani muigizaji wa Family matters

Ada ya mtoto yamtokea puani muigizaji wa Family matters

Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #DariusMcCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni.

Nyota huyo wa #FamilyMatters mwenye umri wa miaka 47 anakabiliwa na kosa la kutolipa ada kwa wakati, inaelezwa kuwa mzazi huyo amelimbikiza madeni ya ada tokea mwezi Machi 12, 2019 hadi sasa.

Star huyo amewahi kugiza filamu kama ‘Something about’, ‘Big Shots’, ‘Family Matters’, ‘Kingdom Come’, na  ‘Wayward’
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags