Mtu mfupi zaidi duniani

Mtu mfupi zaidi duniani

Afshin Esmaeil Ghaderzadeh raia wa #Iran kwa sasa ndiye anashikilia rekodi ya kuwa mtu mfupi zaidi duniani kwa mujibu wa kitabu cha rekodi ya dunia ya Guiness.

Ghaderzadeh mwenye umri wa miaka 21 alizaliwa 13 Julai 2002, wakati anaweka rekodi hii mwaka jana alikuwa na urefu wa futi 2 na inchi 1.6.

Anashikilia rekodi hii baada ya kumpita  Edward "Niño"Hernandez raia wa Colombia ambaye anatofautiana naye kwa urefu wa sentimita saba.

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags