‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #AmberRose anadai kuwa anamchukulia WizKhalifa kama mpenzi wake wa maisha kwa sababu kuachana kwao kulimfanya alie kwa miaka mitatu...
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido ajumuika na familia yake baada ya onesho lake alilolifanya katika mjini Georgia nchini Atlanta.
Mwanamuziki huyo akiwa katika ...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, David De Gea amepiga chini ofa ya mshahara wa pauni laki tano sawa na tsh 1.5 bilioni kwa wiki kutoka katika &l...
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #AshleyJensen anadai kufunga ndoa kwa siri baada ya kufiwa na mume wake miaka sita iliyopita.
Ni miaka sita tangu nyota huyo wa ‘Shetl...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi #Ulaya (Golden Boy) mwaka 2023.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Sevilla FC, Sergio Ramos amezua gumzo mtandaoni baada ya kumkabidhi mwanamuziki Shakira Tuzo ya Latin Grammy, aliyoshinda ya wimbo bora wa m...
Mwanamuziki Taylor Swift anaomboleza kifo cha shabiki kilichotokea dakika chache kabla ya kupanda stejini katika tour yake ya Eras Tour iliyofanyika Brazil usiku wa kuamkia le...
Kufuatia na video zinazosambaa mitandaoni zikimuonesha aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara na aliyekuwa mke wa Dulla Makabila, Zaylissa kuhusishwa kutoka kimapenzi, mastaa...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuwa muigizaji Jackline Wolper na mumewe Rich Mitindo kuwa wameachana, hatimaye #Rich amejibu na kueleza kuwa yeye na mkewe ...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ameweka wazi kuwa kufanya albumu ya Timeless ilikuwa ni kwa ajili ya uponywaji ndani yake kufuatia kifo cha mtoto wake Ifeanyi kilichotokea m...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani Nick Minaj amefikiria kujumuisha nchi ya #Nigeria katika ziara yake ikiwa tuu mashabiki wa nchi hiyo watajisajiri na kununua ‘...
Ikiwa imepita siku moja toka mwanamuziki na muigizaji kutoka nchini Marekani #Cassie kumtuhumu mkali wa R&B #Diddy kumfanyia ukatili wa kingono hatimaye wawili hao wamemal...
Jeshi la polisi Logos nchini Nigeria limewaachia huru mwanamuziki Naira Marley na promoter wa muziki Sam Larry, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambay...