Baba wa marehemu Amy awashitaki marafiki wa mwanaye

Baba wa marehemu Amy awashitaki marafiki wa mwanaye

Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa  kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021.

 Baba huyo aliyefahamika kwa jina la #MitchWinehouse, mwenye umri wa miaka 71, amefungua kesi hiyo katika Mahakama Kuu ya London nchini Uingereza dhidi ya #NaomiParry na #CatrionaGourlay ambao waliuza mali za msanii huyo.

#AmyWinehouse  ambaye alifariki July 23, 2011  Camden Town, London, aliwahi kutoa nyimbo kama ‘Back to back’, ‘Rehab’, ‘Stronger than me’, ‘Wake up alone’ na nyengine nyingi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags