Beraldo mambo ni moto PSG

Beraldo mambo ni moto PSG

Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya #SaoPauloFC, #LucasBeraldo.


Inaelezwa kuwa ‘timu’ hiyo inatarajia kulipa ‘klabu’ anayotokea mchezaji huyo pauni milioni 20 kwa ajili ya kumchukua beki huyo mwenye umri wa miaka 20.


Hata hivyo mchezaji huyo raia wa Brazil inadaiwa yuko njiani kueleke #Paris kwaajili ya kusaini mkataba huo wa muda mrefu.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags