Man Fongo afunguka sababu ya ukimya wake

Man Fongo afunguka sababu ya ukimya wake

Msanii wa #Singeli #ManFongo aeleza kilichofanya  akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika muziki huo.

Aidha msanii amesema kwa sasa muda wowote mashabiki wake watarajie kumsikia tena.

Msanii huyo ngoma zake za mwisho kuachia ‘Hauna kila kitu’ na ‘Safi tu’ ambao ulitoka miaka miwili iliyopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags