NASA imenasa picha ya Miti ya Chrismas inayojulikana kitaalamu kama NGC 2264, iliyoko takribani miaka 2,500 kutoka Duniani. Muonekano wa miti hiyo inatokana na nyota ndogo na kubwa kuliko jua.
Picha hiyo inamuonekano wa ming'ao ya rangi ya buluu, nyeupe na kijani inayotokana na nyota ndogo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi
Leave a Reply