Tsimikas bado sana nje ya uwanja

Tsimikas bado sana nje ya uwanja

Meneja wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp amethibitisha kuwa beki wao #KostasTsimikas atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kugongwa kwenye bega na winga wa ‘klabu’ ya #Arsenal Bukayo Saka dakika ya 35 kwenye sare ya 1-1 dhidi ya Arsenal siku ya jana.

Inaelezwa kuwa hilo siyo pigo la kwanza katika klabu hiyo, beki wa kushoto #AndyRobertson pia yupo nje kwa sasa kutokana na jeraha la bega.

Hata hivyo Bukayo amemuomba msamaha kwa rafu yake iliyopelekea beki huyo raia wa Ugiriki kuvunjika mfupa wa bega.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags