Mbwa huwaona wa miliki wao kama sehemu ya famili yao

Mbwa huwaona wa miliki wao kama sehemu ya famili yao

Utafiti wa ubongo wa mbwa uliofanya kwa njia ya vipimo vya MRI na Chuo Kikuu cha Emory umebaini kuwa mbwa hunasa haraka harufu ya binadamu kuliko harufu nyingine, hivyo unaonesha kuwa binadamu na mbwa wana uhusiani mkubwa wa kihisia.

Hivyo kutokana na utafiti huo umeeleza kuwa mbwa huwaona wamiliki wao kama sehemu ya familia yao na ndiyo maana ni ngumu kukuta mbwa anamng'ata mmiliki wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags