Tazama vibe la Davido na Asake jukwaani

Tazama vibe la Davido na Asake jukwaani

Wakali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Asake na #Davido waiibua shangwe kwa mashabiki wakati wakitumbuiza katika tamasha la Flytime Festival.

#Asake alimpandisha jukwaani #Davido na kuanza kutumbuiza ngoma yao ya ‘No competition’ iliyoko kwenye album ya Davido ya ‘Timeless’ ambayo mpaka kufikia sasa kwenye mtandao wa #YouTube ina zaidi ya watazamaji milioni moja ikiwa ni miezi nane tangu kuachiwa kwake.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags