Kanye West amaliza mwaka na instagram

Kanye West amaliza mwaka na instagram

Mwanamuziki kutoka nchi Marekani, #KanyeWest kwa mara ya kwanza tangu  mwaka  2023 uanze leo ameweka post katika mtandao wake wa Instagram, upande wa insta story.

Msanii huyo licha ya kuwa na wafuasi zaidi ya milioni 18 katika mtandao huo, hana kawaida ya ku-post kitu chochote kama ilivyozoeleka kwa wasanii na watu wengine ambao hutumia mtandao huo kujitangaza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags