21
Shakira akwepa kwenda jela, akubali kulipa faini
Mwanamuziki kutoka #Colombia, #Shakira amefanya makubaliano na waendesha mashitaka kutoka nchini Hispania kumaliza kesi ya kukwepa kulipa kodi.Msanii huyo anakabiliwa na shaur...
21
Drake & Taylor wachuana tuzo za Billboard
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Drake na mwanamuziki mwezie Taylor Swift wanashikiria rekodi ya ushindi wa muda wote katika Tuzo za muziki za Billboard (BBMAs) baada...
21
Azikwa hai kwa siku 7 akitengeneza kontenti ya youtube
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mwandishi wa habari wa mitandaoni anayefahamika kwa jina la Jimmy Donaldson maarufu kama Mr Beast ame-trend kupitia mitanda...
21
Snoop Dogg kuacha kuvuta sigara ilikuwa ni kiki
Ni siku tano tuu zipite tangu ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Snoop Dogg kutangaza kuacha kuvuta sigara, hatimaye imegundulika kuwa ilikuwa ni kiki ya tangazo la kam...
20
Eric akubali kuonesha sura ya mwanaye baada ya kulipwa zaidi ya tsh 80 milioni
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi amedai kuwa anatarajia kufichua sure ya mtoto wa kike aitwaye Kyla baada ya kulipa zai...
20
Diamond: Sipendi kushindana na watu wa nchi hii
Msanii Diamond amedai kuwa hapendi kushindana na watu wa nchi hii kwani hata akitoa intro ya wimbo ina-hit kuliko nyimbo za wasanii wengine.Hayo yamekuja baada ya into ya Diam...
20
Diamond akimchimba biti D voice kutovaa vitu feki
Mwanamuziki Diamondplatnumz akimkabidhi msanii mpya wa WCB D Voice cheni mpya yenye mchanganyiko wa madini iliyotengenezwa kwa muundo wa nembo ya WCB huku akimtaka msanii kuto...
20
Waachiwa huru kupunguza msongamano gerezani
Wafungwa 4068 walioshindwa kulipa faini mbalimbali wameachiwa huru nchini #Nigeria katika mpango wa kupunguza msongamano wa wafungwa Magerezani nchini humo. Waziri wa Mambo ya...
20
Burna Boy na Rema washikilia bango kuikimbiza Afrobeats
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19. B...
19
Wakwe wamkataa Kanye West
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest anadaiwa kutengana na mkewe #BiancaCensori baada ya familia ya Bianca kuomba mrembo huyo aachane na Kanye kutokana na ta...
19
Bruno akanusha kutimkia Saudi Arabia
Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mchezaji #BrunoFernandes huenda akatimkia nchini #SaudiArabia mwisho wa msimu, staa huyo amekanusha na kusema anajisikia furaha kuendelea ku...
19
GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...
19
Kane hashikiki Ulaya
Baada ya watu wengi kuona pengine asingekuwa na makali baada ya kujiunga na ‘klabu’ ya #BayernMunich akitokea katika ‘klabu’ ya #Tottenham, #HarryKane ...
19
Hersi: Asilimia 80 mafanikio ya yanga yamechangiwa na GSM
Rais wa klabu ya #Yanga Eng Hersi Saidi ameeleza kuwa mafanikio ya klabu yake kwa zaidi ya asilimia 80 yamechangiwa na uwepo wa mdhamini wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed. Ame...

Latest Post