Makabila ashusha mkeka wasanii wasio na matatizo

Makabila ashusha mkeka wasanii wasio na matatizo

Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila amedondosha list ya wasanii watano ambao hawana matatizo na mtu yeyote.

Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha ya wasanii watano ambao ni ManaFa, Gnako, Barnaba, Mrisho Mpoto na Jaivah Striker huku akieleza kuwa ameona atumie muda kuwapongeza kaka zake ambao wameonekana hawana matatizo kwenye Tasnia na kuwataka wasanii wengine kujifunza kutoka kwa wakali hao.

Aidha makabila ameweka wazi kuwa ukiachana na list hiyo aliyoiweka muda siyo mrefu atakuja na list nyingine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags