Nchi zenye mabilionea wengi mwaka 2023

Nchi zenye mabilionea wengi mwaka 2023

Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 2,640 duniani kwa mwaka 2023 ambao utajiri wao unawakilisha takribani dola 12.5 trilioni.

Katika orodha hiyo Marekani imeongoza kwa kuwa na mabilionea 735, huku China ikifuata kwa 495, India 169, Germany 126, na Russia 105.

Hata hivyo inaonesha idadi ya mabilionea duniani imepungua kwa asilimia 3.5, tofauti na ilivyokuwa mwaka 2022.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags