Kanye awaomba radhi Wayahudi

Kanye awaomba radhi Wayahudi

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ametoka hadharani na kuiomba radhi jamii ya Wayahudi kufuatia na maneno na vitendo vyake vilivyozua chuki kwa jamii hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kanye ameeleza kuwa anajuta kutoa maoni dhidi ya Wayahudi kwa kudai kuwa hakuwa na nia ya kuumiza wala kuidhalilisha jamii hiyo.

Ikumbukwe kuwa kupitia maoni yake yalionesha chuki dhidi ya Wayahudi yalimfanya kupoteza mikataba ya kazi na makampuni mbalimbali ikiwemo Adidas.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags