Asake amkumbuka MohBad

Asake amkumbuka MohBad

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septemba 12 mwaka huu.

Tamasha hilo la #Flytime lililofanyika jiji Lagos usiku wa kuamkia leo #Asake alieleza kuwa amefanya hivyo kwa lengo la kutoa pongezi kwa marehemu #Mohbad katika kupambania ndoto zake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags