Mavokali matatani kwa kutumia msemo  Bado hujasema

Mavokali matatani kwa kutumia msemo Bado hujasema

Mchekeshaji  #Kago atishia kumshtaki msanii wa #BongoFleva #Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya  ‘HAMJASEMA’

#Kago ameeleza kuwa mwanamuziki huyo ametumia msemo huo bila ridhaa yake huku akitaka watu kuheshimu misemo inayotolewa kwa sababu inakuwa na  hati miliki ya mtoaji.








Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags