Watoto wawakutanisha Cardi B na Offset

Watoto wawakutanisha Cardi B na Offset

Licha ya wanamuziki kutoka nchini Marekani Cardi B na mumewe Offset kugombana huku kukiwa na tetesi za wao kuachana kutokana na usaliti unaoendelea baina yao, lakini wawili hao wameamua kukutana tena na kusheherekea sikukuu ya Christimas wakiwa na watoto wao.

Cardi B na Offset wamedumu kwenye ndoa miaka mitano na kubahatika kupata watoto wawili ambao ni Kulture Kiari Cephus (5) na Wave Set Cephus, (2
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags