Babu Tale kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share top 4 ya wasanii ambapo wamemkosha mwaka huu akiwemo Young Lunya, Nandy, Zuchu na Mbosso huku akiwataka wadau wa muziki kuwa tayari na Top 10 ya wasanii waliofanya vizuri.
Aidha ameahidi pia kuorodhesha wasanii waliofanya vibaya kwa mwaka mzima kwa mujibu wa mtazamo wake.

Leave a Reply