Mwanamuziki ambaye anatambulika Kimataifa kupitia wimbo wake wa ‘Komasava’, Diamond ameonekana kutumia show ya Jux kumaliza ugomvi wake na Zuchu.Show hiyo ambayo i...
Albamu ya Marioo 'The God Son' imeshindikana kwenye Chart za muziki nchini. Hii ni baada ya kukaa kwa muda mrefu kama albamu namba moja inayosikilizwa zaidi.Albamu hiyo iliyoa...
Ikiwa leo ni siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’ mwanamuziki Diamond hakutaka ipite hivi hivi ambapo ameamua kuwaziba midomo wambea kwa kutuma ujumbe wa mahaba kwa ...
Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza&...
Staa wa muziki na mjasiriamali Rihanna, amejitokeza kukanusha video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akizungumza kuhusu manunuzi yake ya vitu vya gharama kub...
Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ya mastaa wawili ni Jux na Priscilla ambao wamefan...
Wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz na Zuchu huwenda wakawa wamemaliza tofauti zao, hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa karibu zaidi siku ya jana Februari ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilia leo Februari 7,2025.Taarifa ya ndoa ya wawili hao imetolewa na baadh...
Ni wazi kuwa waimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, D Voice na Zuchu wapo mbio sana kuwapa burudani mashabiki wao ukilinganisha na wenzao katika rekodi lebo hiyo iliyoanza...
Mzazi mwenzie na Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari the Boss Lady’ amedai kinachokwamisha Wabongo wengi kutoshiriki kwenye kipindi cha ‘Young, Famous &am...
Mwanamuziki Zuchu ametuma barua ya wazi kwa bosi wake na msanii Diamond kufuatia na yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhudiana na maswala mazima ya yeye kutaka kuolewa...
Mwanamuziki anayetamba na albumu ya ‘Peace of Money’ Zuchu amemtolea povu kaka wa mwanamuziki Diamond, Ricardo Momo baada ya kufunguka kuhusiano na Zuchu kutamani ...
Licha ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizoms...
Mwanamuziki anayetamba na Album yake ya ‘Peace and Money’ Zuchu ameripotiwa kushika namba moja nchini Zimbabwe kupitia wimbo wake wa Kwikwi.Kupitia tovuti ya iChar...