Shangwe la bibi yake Burna Boy baada ya kupewa zawadi

Shangwe la bibi yake Burna Boy baada ya kupewa zawadi

Tazama shangwe la bibi yake Burna Boy mzaa mama baada ya kupewa zawadi ya pochi ya thamani aina ya ‘Birkin bags’.

 Tukio hili limeibua hisia nyingi kupitia mitandano ya kijamii ambapo baadhi ya wadau wa muziki wakieleza kuwa huenda Burna Boy ndiye msanii mwenye bahati nchini Nigeria, familia yake kuanzia Bibi, Babu kushuhudia mafanikio yake.

kwakutizama video hii nenda katika ukurasa wa Instagram @mwananchiscoop
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags