Nyani wamchana masikio rapa Swaelee

Nyani wamchana masikio rapa Swaelee

‘Rapa’ kututoka nchini Marekani, #Swaelee amesema kuwa hatoweza tena kuvaa hereni masikioni kwa sababu nyani wake walimchana masikio na kutoa hereni alizokuwa amevaa.

Swaelee ameeleza kuwa nyani wake waling’oa hereni zake za almasi kutoka masikioni mwake na kupelekea masikio yake kuchanika. Kati ya nyimbo za Swaelee ni ‘Wish U Well’, ‘Sunflower’, ‘No type’ na nyengine nyingi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags