Mjengo wa Kanye uko sokoni

Mjengo wa Kanye uko sokoni

Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu ‘rapa’ Kanye West kutoka nchini Marekani kununua nyumba iliyopo ufukweni jijini Califonia, sasa imeripotiwa kuwa nyumba hiyo iko sokoni.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinadai kuwa, katika baadhi ya site za kuuza nyumba na kupangisha, moja ya nyumba iliyoonekana ni ya Kanye inayokadiriwa kuuzwa kwa dola 53 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 130 bilioni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags