Mabilionea walioongeza utajiri wao mwaka 2023

Mabilionea walioongeza utajiri wao mwaka 2023

Ikiwa mwaka 2023 unaeleke kuisha umekuwa wa neema kwa baadhi ya mabilionea ulimwenguni, ambapo utajiri wao umeongezeka kwa kiasi kikubwa.

Wengi wao ni wale wanaojihusisha na masuala ya teknolojia, jambo linaloonesha mabadiliko makubwa katika sekta hiyo. Nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Elon Musk kwa kupata zaidi ya dola bilioni 108 kutoka Tesla na SpaceX utajiri wake umefikia ($254.9B), akifuatiwa na mmilikiwa FaceBook Mark Zuckerberg mwaka huu ameongeza zaidi ya dola bilioni 74.8 jumla ya utajiri wake ($118.6B).

Mmiliki wa Amazon, Jeff Bezos amepata zaidi ya dola bilioni 65 jumla utajiri wake ($172.3B), Prajogo Pangestu zaidi ya dola bilioni 47 jumla ($52.8B). Mmiliki wa Google, Larry Page ameongeza zaidi ya dola bilioni 34 jumla ($111.7B).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post