Jaymelody alia maisha magumu

Jaymelody alia maisha magumu

Mwanamuziki wa bongo fleva Jaymelody licha ya kupata pesa lakini ameweka wazi kuwa kwa upande wake maisha ni magumu na mabaya.

Kupitia live yake ya siku ya jana kwenye ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa japo anapitia magumu lakini kwa sasa anapata furaha kutoka kwa mashabiki wake wa nje ya nchi ambao huomba kupiga picha naye, kuimba nyimbo zake na kuzifuria.

Jaymelody kwa sasa anatamba na ngoma yake ya “Mbali Nawe’ yenye watazamaji zaidi ya milioni 5 iliyotoka Agosti mwaka huu katika platform yake ya ‘YouTube’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags