Swali la mtangazaji lamchukiza Jotter

Swali la mtangazaji lamchukiza Jotter

Mchekeshaji kutoka Nchini Nigeria #BrainJotter ameonesha kuchukizwa na mtangazaji aliyemuuliza kuhusu utajiri wake.

#Brain akiwa katika mahojiano aliulizwa kwa sasa utajiri wake umefikia kiwango gani? kutokana na swali hilo alionesha kutopendezwa nalo na kuamua kurudisha swali kwa mtangazaji kwa kumuuliza kujua utajiri wake itasaidia nini kwa vijana? huku akimtaka mtangazaji huyo kumuuliza kuhusu mapambano yake na siyo vitu visivyo na msaada kwa vijana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags